Payments mode
VODACOM LIPA NAMBA: 5 6 3 1 5 0 7
Account Name: WEXITO ONLINE LIMITED
Jinsi ya kulipa
Lipa kwa Namba
Kwa watumiaji wa mpesa
1. Ingia kwenye Menu ya M-PESA (“150*00#)
2. Chagua namba 4 “Lipa kwa M-PESA”
3. Chagua namba 1 “lipa kwa Simu”
4. Chagua namba 1 “Ingiza LIPA Namba”
4. Weka Lipa namba
5. Ingiza kiasi cha kulipa
6. Ingiza namba ya siri kukamilisha malipo
Wateja wa Mitandao mingine
1. Fungua menu yako ya huduma za kifedha
2. Chagua Lipa kwa namba ya Simu
3. Chagua Kwenda mitandao mingine
4. Chagua M-Pesa
5. Ingiza M-pesa Lipa namba
6. Ingiza Kiasi cha kulipa
7. Ingiza Namba ya siri kuthibitisha
Wateja kutoka Benki
1. Fungua menu yako ya huduma za kifedha
2. Chagua Tuma pesa
3. Chagua Kwenda mitandao ya simu
4. Chagua M-Pesa
5. Ingiza Namba ya mfanyabiashara (Lipa namba)
6. Ingiza Kiasi cha kulipa
7. Ingiza Namba ya siri kuthibitisha/Bonyeza 1 kuthibitisha.
TIGO LIPA NAMBA: 6 5 6 1 9 1 4
Account Name: WEXITO ONLINE LIMITED
Jinsi ya kulipa
Lipa kwa Namba
Kwa watumiaji wa tigo
1. Ingia kwenye Menu ya tigopesa (“150*01#)
2. Chagua namba 5 “Lipa kwa simu”
3. Chagua namba 1 “kwenda kwa tigopesa”
4. Ingiza LIPA namba
5. Ingiza kiasi cha kulipa
6. Ingiza namba ya siri kukamilisha malipo
Wateja wa Mitandao mingine
1. Fungua menu yako ya huduma za kifedha
2. Chagua Lipa kwa namba ya Simu
3. Chagua Kwenda mitandao mingine
4. Chagua Lipa kwa tigopesa
5. Ingiza tigo Lipa namba
6. Ingiza Kiasi cha kulipa
7. Ingiza Namba ya siri kuthibitisha
Wateja kutoka Benki
1. Fungua menu yako ya huduma za kifedha
2. Chagua Tuma pesa
3. Chagua Kwenda mitandao ya simu
4. Chagua tigopesa
5. Ingiza Namba ya mfanyabiashara (Lipa namba)
6. Ingiza Kiasi cha kulipa
7. Ingiza Namba ya siri kuthibitisha/Bonyeza 1 kuthibitisha.
BANK PAYMENT
Bank Name: NMB Bank Plc
Branch Name: Bank House – Posta
Account Name: WExito Online Limited
Account No: 20110083036